Kamilisha Taarifa

  1. - Agiza angalau siku moja kabla ili upate nyama fresh mapema asubuhi.
  2. - Okoa gharama kwa kuagiza nyama ya kutumia angalau siku tatu na kuendelea.
  3. - Gharama za usafiri ni wastani wa Tsh 3,000/=, inaweza kushuka au kupanda kidogo kulingana na order za eneo husika kwa siku hiyo.
  4. - Huduma ya haraka (Express) inapatikana kwa Tsh. 20,000/=. Unapata mzigo ndani ya saa moja.