Huduma yetu inafika mashuleni, kwenye migahawa, hotelini, kwa wachuuzi, kwenye sherehe, ofisini, kwenye makampuni, mashirika mbalimbali, majumbani n.k
Tunauza na kusambaza nyama kwa Jumla na rejareja mji mzima wa Dar-es-salaam, tuagize na tutakuletea Nyama popote kwa gharama nafuu sana.
Huduma yetu inafika mashuleni, kwenye migahawa, hotelini, kwa wachuuzi, kwenye sherehe, ofisini, kwenye makampuni, mashirika mbalimbali, majumbani n.k
Huwa tunachinja usiku, Tunashauri uagize angalau siku moja kabla ili kuweza kupata nyama Fresh mapema asubui, Huduma ya Haraka pia inapatikana, karibu sana.