X

Kuhusu Sisi

Tunauza na kusambaza nyama kwa Jumla na rejareja mji mzima wa Dar-es-salaam, tuagize na tutakuletea Nyama popote kwa gharama nafuu sana.
Huduma yetu inafika mashuleni, kwenye migahawa, hotelini, kwa wachuuzi, kwenye sherehe, ofisini, kwenye makampuni, mashirika mbalimbali, majumbani n.k
Huwa tunachinja usiku, Tunashauri uagize angalau siku moja kabla ili kuweza kupata nyama Fresh mapema asubui, Huduma ya Haraka pia inapatikana, karibu sana.

Nunua Sasa

Wasiliana Nasi

  • Ndumbwi, Mbezi Juu (Beach), Kindondoni DSM
  • +255 713 383 414 (main)
  • +255 677 811 833 (Kinondoni)
  • +255 714 799 704 (Ilala)
  • info@stevenyama.com
  • Dar es Salaam
  • info@stevenyama.com
  • +255 713 383 414
  • Nyumbani
  • Buchani
  • Kuhusu Sisi
  • Mawasiliano
  • 0

Wasiliana Nasi

  • Ndumbwi, Mbezi Juu (Beach), Kindondoni DSM
  • +255 713 383 414 (main)
  • +255 677 811 833 (Kinondoni)
  • +255 714 799 704 (Ilala)
  • info@stevenyama.com

Nyama Safi na Yenye Afya

Tunakuletea kilicho bora zaidi.

NUNUA SASA

Nunua Nyama, Pata Viungo Bure

Kinachobaki ni kupika tu.

NUNUA SASA
Buchani Kwetu

Nyama Zilizopo

Ng'ombe / Meat ( cattle )
Kuku. / Chicken.
Samaki / Fish
Mbuzi / meat ( goats)
Viungo. / Spices & Veggies
Agiza Sasa
© Steve Nyama Butchery. Haki Zote Zimehifadhiwa.
  • Home
  • About
  • Contact